Nimeshamaliza kufanya configuration, Nawasubiri nyie. Hamjakamilisha yafuatayo:

  1. Malipo ya asilimia 43% sawa na TZS 150K
  2. Kunitumia Email itakayotumika kwenye Payment Gateway
  3. Token za bot mtakaye mtumia
  4. SSL Certificate